Home » » LIVE!!.TAARIFA YA AWALI YA AJALI YA NDEGE YA SHIRIKA LA ATC ILIYO PATA AJALI MAPEMA LEO HUKO KIGOMA

LIVE!!.TAARIFA YA AWALI YA AJALI YA NDEGE YA SHIRIKA LA ATC ILIYO PATA AJALI MAPEMA LEO HUKO KIGOMA

Ndege ya ATC muda mchache baada ya kupata ajali hiyo mapema leo

 Baadhi ya watu mbali mbali wakiwa wanaelekea eneo la ajali kutoa msaada muda mchache baada ya ajali hiyo
 Hivi ndivyo Ndege ya ATC inavyo onekana muda mchache ulio pita, hao ni baadhi ya abiria na watu walio fika eneo hilo muda mchache ulio pita
Hivi Ndivyo inavyo onekana kwa Jirani

**************
Na mwandishi wa Tone Media
Ndege ya Shirika la ATC ambayo ilikuwa imetoka  Dar es salaam na kutua Kigoma salama na Baada ya muda mchache kuanza safari ya kuelekea Tabora ambapo ndio ilikuwa kwa Runway na kudondoka muda mfupi kabla ifanye hivyo, taarifa zaidi kutoka  kwa abiria ambao walikuwepo ndani ya Ndege hiyo zinadai kuwa ilikuwa imejaza zaidi ya uwezo wake. Katika ajali hiyo bawa moja la upande wa kulia limevunjika kabisa, na hakuna abilia hata mmoja aliye jeruhiwa vibaya. Hata hivyo kuna akina bibi wawili ambao wamepatwa na mshituko kutokana na ajali hiyo na wamekimbizwa moja kwa moja katika hospital ya maweni Kigoma.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Kigoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa