Home » » HOT: MH. SIMBACHAWENE ASIMAMISHA KAZI WAKURUGENZI KIGOMA NA KATAVI

HOT: MH. SIMBACHAWENE ASIMAMISHA KAZI WAKURUGENZI KIGOMA NA KATAVI

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa George Simbachawene

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa George Simbachawene amewasimamisha kazi wakurugenzi katika Mikoa ya Kigoma na Katavi kwa ubadhirifu wa mali za umma.

Waliosimamishwa kazi ni pamoja na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi  Bwn. Sulemani Lukanga kwa tuhuma za kununua gari hewa la kubebea takataka kwa kiasi cha shilingi 92,750,000  na  ubadhirifu wa fedha za ujenzi wa skimu ya umwagiliaji ya Kakese kiasi cha shilingi miambili tisini na nne 294,000,000/=na .
kinyume kabisa na sheria za utawala bora.

Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigoma Ujiji Eng. Boniface Nyambele anaetuhumiwa kwa uuzaji wa nyumba za serikali bila kufuata sheria za uuzwaji wa mali za umma.
 
NA BLOGS ZA MIKOA

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Kigoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa