Home » » WACHEKI WANAFUNZI WA KASULU WANAVYO PIGA KABUMBU!

WACHEKI WANAFUNZI WA KASULU WANAVYO PIGA KABUMBU!


 
 
Wanafunzi wa darasa la 5 na 6 katika Shule ya msingi Uhuru iliyopo Kasulu Mjini Mkoani Kigoma wakilisagata gozi la Ng’ombe katika uwanja wa shule hiyo hivi karibu wakati wa mapumziko. Michezo huchangamsha mwili na akili na kuwafanya watoto kuweza kufanya vizuri zaidi katika masomo yao.
PICHA NA FATHER KIDEVU BLOG

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Kigoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa