Home » » WAZIRI MKUU PINDA AKUTANA NA WAZEE WA BABATI NA KIGOMA

WAZIRI MKUU PINDA AKUTANA NA WAZEE WA BABATI NA KIGOMA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Wazee kutoka kata ya Nsimbo katika jimbo la Kigoma Kusini baada ya kuzungumza nao ofisini kwake  bungeni mjini Dodoma
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda   akizungumza na wazee kutoka kijiji cha Kwaraa, Babati  wakiwa na Mbunge wao wa Babati Mjini, Kisyeri Chambiri (watatu kushoto) ofisini kwake bungeni mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na  wazee kutoka kata ya Simbo wilayani Uvinza, ofsini kwake mjini Dodoma.  Kulia ni Mbunge wa Kigoma Kusini, Mhe David kafulila (kulia) na wa sita kushoto ni Mbunge wa kigoma Mjini Mhe Peter Serukamba. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Kigoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa