Home » » MATUKIO YA SHOO YA LEKADUTIGITE YA ALL STARS MJINI KIGOMA JANA

MATUKIO YA SHOO YA LEKADUTIGITE YA ALL STARS MJINI KIGOMA JANA



 Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, akizungumza kabla ya kuanza rasmi kwa Shoo kabambe ya All Stars wa Kigoma, iliyokwenda kwa jina la Lekadutigite, iliyofanyika jana mjini Kigoma.
 Sehemu ya mashabiki waliojitokeza wakishangilia Bonge la Shoo lililokuwa likidondoshwa jukwaani.
 Mmoja kati ya wasanii wa All Stars Kigoma, akishambulia jukwaa.
 Makamuzi yakiendelea jukwaani.
 Wengine ilikuwa tabu kuweza kuona mbele ilibidi kutumia teklnolojia kama hii ili kuweza kuwashuhudia All Stars.
Jukwaa lilifurika na kurindima kama hivi.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Kigoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa