Home »
» BREAKING Nuuuuuuuuuuuuz: BOTI YAZAMA ZIWA TANGANYIKA
BREAKING Nuuuuuuuuuuuuz: BOTI YAZAMA ZIWA TANGANYIKA
Kuna taarifa ya kuzama katika ziwa Tanganyika maiti nane zimeopolewa. Jina na wapi ilikuwa yatoka na kwenda haijafahamika. Ajali imetokea kijiji cha herembe wilaya ya uvinza. Chanzo ni mawimbi makubwa
0 comments:
Post a Comment