Msanii
 wa muziki wa kizazi kipya,Neylee akiimba kwa hisia kwenye jukwaa la 
tamasha la Serengeti Fiesta 2013,usiku huu kwenu uwanja wa Lake 
Tanganyika.
 Sehemu ya umati wa watu waliofurika kwenye uwanja wa Lake Tanganyika usiku huu wakiburudika na Wasanii wa Serengeti Fiesta 2013
 Burudani ya kutosha kabisa
 Hapatoshi ndani ya uwanja wa Lake Tanganyika usiku huu.
 Mwanamuziki
 mahiri wa muziki wa Dansi,Christian Bella akikamua jukwaani usiku huu 
ndani ya uwanja wa Lake Tanganyika,mkaoni Kigoma ambapo watu wamefurika 
ile mbaya.
 Msanii
 wa muziki wa kizazi kipya Cassim Mganga akiimba jukwaani mbele ya 
maelfu ya wakazi wa Kigoma ndani ya uwanja wa Lake Tanganyika.
 Sehemu ya umati wa watu waliofurika ndani ya uwanja wa Lake Tanganyika usiku huu
 Msaniii
 anekuja kwa kasi kwenye miondoko ya Hip Hop,Stamina akikamua jukwaani 
usiku huu mbele ya maelfu ya wakazi wa mji wa Kigoma waliojitokeza 
kwenye tamasha la Serengeti Fiesta
 Ni Shangwe tu ndani ya uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma usiku huu,wakati tamasha la Serengeti Fiesta likiendelea
 Yaani hapatoshi kabisa,wakazi wa Kigoma wamecharuka na burudani murua kabisa ya tamasha la Serengeti Fiesta 2013.
Msanii
 wa muziki wa kizazi kipya Rachael kutoka THT,akionesha umahiri wake wa 
kutumbuiza jukwaani usiku kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2013.
Washabiki wa tamasha la Fiesta wakifuatilia kwa makini yanayojiri usiku huu ndani y uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma.
Wadau nao wamejitokeza kwa wingi
Peter Msechu na densa wake wakikamua vilivyo usiku huu kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2013.
Pichani
 ni msanii wa bongofleva akulikanae kwa jina la Shilole na madansa wake 
wakiwachengua vilivyo wakazi wa Kigoma,waliojitokeza kwa wingi usiku huu
 kwenye tamasha la Serengeti Fiesta,ndani ya uwanja wa Lake Tanganyika.
PICHA ZOTE NA JIACHIE BLOG- MICHUZI JR
















0 comments:
Post a Comment