Home » » KARIBU KIGOMA, TAZAMA JINSI WANAVYO TUMIA USAFIRI MKUBWA WA NGALAWA

KARIBU KIGOMA, TAZAMA JINSI WANAVYO TUMIA USAFIRI MKUBWA WA NGALAWA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

  Baadhi ya abiria kutoka sehemu mbalimbali wakipanda Ngalawa kwenye ufukwe wa ziwa Tanganyika, sehemu ijulikanayo kwa jina la Kibirizi kuelekea upande wa pili wa fukwe ya ziwa hilo pajulikanapo kwa jiina la Kagunga, ambapo abiria hulipa nauli ya shilingi Elfu tano kwa kila kichwa, na huchukua masaa manne kufika kwenye ufukwe huo, ambako ni mpakani jirani na nchi ya Burundi.
Abiria wakifunikwa turubai wasilowane na mvua, wakati ilipoanza kunyesha mjini hapa.

 Baadhi ya abiria kutoka sehemu mbalimbali wakipanda Ngalawa kwenye ufukwe wa ziwa Tanganyika, sehemu ijulikanayo kwa jina la Kibirizi kuelekea upande wa pili wa fukwe ya ziwa hilo pajulikanapo kwa jiina la Mwagongo mapema jana mchana mkoani Kigoma.
 Sehemu ya Ziwa Tanganyika kama inavyoonekana kwa mbaali mapema jana jioni mkoani Kigoma.
PICHA NA MICHUZIJR

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Kigoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa