Home »
» NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII,MHANDISI RAMO MAKANI AFANYA KIKAO NA VIONGOZI WA HIFADHI YA TAIFA YA KISIWA CHA RUBONDO.
NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII,MHANDISI RAMO MAKANI AFANYA KIKAO NA VIONGOZI WA HIFADHI YA TAIFA YA KISIWA CHA RUBONDO.
Naibu
Waziri wa Maliasilili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani ,akiviishwa vazi
maalum (Boya) ambalo hutumika kujiokoa wakati uafiri wa maji unatumika.
Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii ,Mhandisi Ramo Makani akiingia kwenye
Boti kwa ajili ya kutembelea vivutio mbalimbali vya Utalii katika
Hifadhi ya Taifa ya Rubondo.
Mhifadhi
Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo,Misana Mwishawa
akimueleza jambo Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo
Makani wakati akitembelea vivutio mbalimbali vya utalii katika hifadhi
hiyo.
Mamba
ni moja ya vivutio katika Hifadhi ya Taifa ya Rubondo ambayo Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani alivutiwa kuwatizama.
Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani akitizama vivutio
mbalimbali wakati akizunguka na boti maalumu katika visiwa vilivyoko
Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo.
Mhifadhi
Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo,Missana Mwishawa
akimuonesha Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani
eneo ambalo ni makazi na mazalia ya ndege katika moja ya visiwa
vilivyoko katika Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo.
Mkuu
wa wilaya ya Geita,Herman Kapufi alikuwa ni mmoja wa viongozi
walioongozana na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhandisi Ramo
Makani kazika ziara hiyo.
Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani akizunbgumza jambo
mara baada ya kupata maelezo mbalimbali kutoka kwa Mhifadhi Mkuu wa
Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo,Misana Mwishawa
Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani akitia saini katika
kitabu cha wageni baada ya kuwasili katika hoteli ya Asilia Lodge
iliyopo ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo.
Mkurugenzi
wa Utalii na Masoko wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Ibrahim
Musa akizungumza wakati wa kikao kifupi cha Naibu Waziri wa Utalii na
Maliasili ,Mhandisi Ramo Makani na viongozi wa Hifadhi ya Taifa ya
Kisiwa cha Rubondo.
Mbunge wa Jimbo la Geita Vijijini,Joseph Kasheku (Msukuma) akizungumza wakati wa kikao hicho.
Mkuu wa wilaya ya Geita,Herman Kapufi akizungumza katika kikao hicho.
Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii ,Mhandisi Ramo Makani akizungumza na
viongozi wa serikali ikiwemo kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa
Geita pamoja na viongozi wa Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo
alipokutana nao katika Hoteli ya Asilia Lodge.
Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani akizungumza na mmoja
wa wageni katika Hoteli ya Asilia Lodge iliyopo katika Hifadhi ya Taifa
ya Kisiwa cha Rubondo.
Ugeni
wa Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani ukipunga
mikono kuaga wenyeji wao katika Hoteli ya Asilia Lodge ndani ya Hifadhi
ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo.
0 comments:
Post a Comment