Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Rais
Dkt John Pombe Magufuli akizungumza jambo Mlemavu aitwaye Aron Michael
Kipalilo ambaye ni mkazi wa kibondo mwenye ujuzi/fundi wa kushona nguo.
Amekutana na Rais Magufuli na ameomba amshonee Kaunda Suti.Rais Dkt
Magufuli yuko mkoani Kigoma kwa ziara ya siku tatu ya kikazi
Rais
Dkt John Pombe Magufuli akifurahia jambo na mmoja wa Walemavu aitwaye
Aron Michael Kipalilo ambaye ni mkazi wa kibondo mwenye ujuzi/fundi wa
kushona nguo. Mlemavu huyo amekutana na Rais Dkt Magufuli amshonee
Kaunda Suti.
0 comments:
Post a Comment