Home » » Zitto Kabwe:Narudia, Mwaka 2015 Sitagombea Ubunge.

Zitto Kabwe:Narudia, Mwaka 2015 Sitagombea Ubunge.


Narudia,
mwaka 2015 sitagombea Ubunge. Nitafanya kampeni ya Urais, ama mimi kama
mgombea wa chama changu CHADEMA au kama mpiga debe wa mgombea wa chama
changu. Miaka 10 ya Ubunge inatosha na kwa ngazi hiyo ni vema niwaachie
wengine wasukume mbele gurudumu la maendeleo ya Jimbo na mkoa wetu. Huu
ndio uamuzi wangu wa mwisho na nimeshawaeleza wananchi wa Jimbo langu na
mkoa wa Kigoma toka mwaka 2005. 



(Inatoka kwenye ukurasa wake wa Face Book)

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Kigoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa