Home » » TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA ZIARANI MKOANI KIGOMA

TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA ZIARANI MKOANI KIGOMA


Jaji Mkuu wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Mahakama, Mhe. Mohamed Chande Othman akisalimiana na baadhi ya Watumishi wa Mahakama wa Mkoa wa Kigoma alipowasili leo kwa ajili ya ziara ya kikazi mkoani humo,pembeni kwa Jaji Mkuu ni Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Kanali Mstaafu, Issa Machibya, na Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Fakih Jundu.
Jaji Mkuu wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Mahakama, Mhe. Mohamed Chande Othman akipatiwa maelezo wakati alipofanya Ukaguzi wa kiwanja cha Mahakama Bangwe,kinachotarajiwa kujengwa Mahakama Kuu Kigoma. 
(Picha na Mary Gwera, Mahakama ya Tanzania).

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Kigoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa