
Ngoma zinazo Dhaniwa kuwa ni za makabira ya Nchi jirani Congo na Burundi zikichezwa sawa sawa

Nyumba ya mzee Ahmed inayo Daiwa kuwa Mwalimu Nyerere alikuwa akifikia hapo Kigoma Ujiji kwa ajili ya kazi zake za Kisiasa

Eneo la Kakonko Kibondo mkoani Kigoma

Kasulu Kigoma

Hii ni Stendi ya Kasulu ambapo kuna usafiri wa Geita, Kinondokutokana na hatari iliyopo Abiria wanasindikizwa kutokea eneo moja hadi jengine.

Daraja la Mto Maragalasi ambapo ni Mpaka kati ya Kibondo na Kasulu

Shughuli za kupakua mizigo kutoka MV Liemba Kigoma Ujiji Zinaendelea

Huu Usafiri wa wakazi wa Kigoma kuelekea maeneo Mbali mbali

Kigoma wapenzi sana wa mpira wa miguu kila kona vijana wanacheza Mpira , Hapa ni kiwanja cha Polisi Kigoma
Picha zote na Mdau wetu aliyeko Kigoma Innocent Henry
Endelea kufuatilia
0 comments:
Post a Comment