Home » » MASHINDANO YA MITUMBWI YA BALIMI YAANZA KWA KASI MJINI KIGOMA

MASHINDANO YA MITUMBWI YA BALIMI YAANZA KWA KASI MJINI KIGOMA






Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Mh Ramadhani Maneno
akimkabidhi kitita cha Shilingi laki saba kepteni wa timu ya wanawake ya
upendo bi mawazo shaban Juhudi mara baada ya kuibuka kidedea kwenye
fainali hiyo.
Mabingwa wa
mashindano ya Balimi boat race mkoa wa kigoma upande wa  wanaume Timu ya
Katonga A wanaume wakishangilia mara baada ya kuwa  mabingwa wa mkoa
huo na kukabidhiwa jumla ya shilingi laki tisa kama  zawadi ya ushindi
wa kwanza.



Timu ya katonga A ambao ni mabingwa wa mkoa wa Kigoma wakimaliza mashindano ya kupiga makasia ya Bia ya Balimi kwenye Ziwa Tanganyika.




Meneja wa Bia ya Balimi Edith Bebwa kulia akishuhudia namna wachezaji wa timu mbalimbali walivyokuwa wakitoana jasho kwenye fainali ya Mashindano ya Kupiga makasia ya Bia ya Balimi kwenye ziwa Tanganyika.


0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Kigoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa