Home » » Boti yazama Ziwa Tanganyika na kuua watu 12

Boti yazama Ziwa Tanganyika na kuua watu 12

Boti kubwa imezama katika ziwa Tanganyika maeneo ya Kipwa upande wa Tanzania na kuua watu wapatao 12.

Kwa mujibu ya watu waliotoa taarifa,watu 12 wameopolewa wakiwa wamekufa kutokana na kuzama kwa boti hiyo, mpaka sasa maiti hao bado hawajatambuliwa kuwa ni raia wa wapi.

Hivi sasa naelekea sehemu ya tukio kusaidia uokoaji wa majeruhi wa eneo hilo ambapo mpaka sasa watu watatu wamepatikana wakiwa hai; nitawajuza baada ya kufika eneo la tukio.
Chanzo: JF

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Kigoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa