Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
ZINAIDA JAMES KIJERI (40) mkazi wa Kakonko Kigoma,
namba yake ya ushiriki ni MS 10, ni mkulima wa shamba la ukubwa wa ekari 7 na
mfugaji wa ng’ombe 10 na mbuzi 15.
ANADHANI YEYE NI MFANO WA KUIGWA: Kwa sababu
anajiamini na anajituma katika shughuli mbalimbali na pia kushauriana na
wafugaji wengine pamoja na wakulima. Anasema "Kwa
mwaka ninavuna mazao gunia 30 na ninapata lita 1,825 za maziwa"
MAISHA PLUS/ MAMA SHUJAA WA CHAKULA
MAISHA PLUS/ MAMA SHUJAA WA CHAKULA
0 comments:
Post a Comment