Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
KAIMU
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Shaka Hamdu Shaka (wa
tatu kulia) akipokea zawadi ya Sabuni alipotembelea na kukagua
Utekelezaji wa ilani ya CCM katika kikundi cha vijana wanaojishuhulisha
na Mradi wa uwekezaji viwanda vidogo vidogo katika utengenezaji wa
sabuni na usimikaji wa dagaa katikakata ya mwanga wilayani Kigoma mjini
Mkoa wa Kigoma.
MBUNGE
wa Viti Maalumu Zainab Katimba akizungumza na viongozi wa mashina na
matawi wapya waliochaguliwa,kata na wilaya ya kigoma mjini wa chama cha
mapinduzi na jumuiya zake katika ukumbi wa mikutano Kizito Kigoma
Mjini.
KAIMU Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Shaka Hamdu Shaka akisimikwa na wazee wa mkoa wa kigoma
wanachana wakiendelea kusikiliza kwa umakini
KAIMU Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Shaka Hamdu Shaka akizungumza na viongozi wa mashina
na matawi wapya waliochaguliwa,kata na wilaya ya kigoma mjini wa chama
cha mapinduzi na jumuiya zake katika ukumbi wa mikutano Kizito Kigoma
vijijin.
KAIMU
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Shaka Hamdu Shaka
akiagana pamoja na Viongozi mbali mbali Wilayani Kigoma Mjini mara baada
ya Mkutano
KAIMU Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Shaka Hamdu Shaka akiwa amebeba Mtoto
kipeperushi
cha kumkaribisha KAIMU Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM)
Shaka Hamdu Shaka .katika wilaya ya Kigoma vijijin
KAIMU
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Shaka Hamdu Shaka
akishiriki katika zoezi la ufyatuaji wa matofali katika kikundi cha
Mgera Youth Group katika kata ya Mwandigwa cha wajasilia mali
wanaojishuhulisha na shughuli mbali mbali za ujasilia mali zinazo fanywa
ikiwemo kufyatua tofali za kuchoma ,kutengrneza sabuni ,uvuvi na hisa
kilichoanzishwa mwaka 2015
KAIMU Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Shaka Hamdu Shaka
akishiriki katika zoezi la ubebaji wa matofali katika kikundi cha
Mgera Youth Group katika kata ya Mwandigwa cha wajasilia mali
wanaojishuhulisha na shughuli mbali mbali za ujasilia mali zinazo fanywa
ikiwemo kufyatua tofali za kuchoma ,kutengrneza sabuni ,uvuvi na hisa
kilichoanzishwa mwaka 2015
MBUNGE wa Viti Maalumu Zainab Katimba
akishiriki katika zoezi la ufyatuaji wa matofali katika kikundi cha
Mgera Youth Group katika kata ya Mwandigwa cha wajasilia mali
wanaojishuhulisha na shughuli mbali mbali za ujasilia mali zinazo fanywa
ikiwemo kufyatua tofali za kuchoma ,kutengrneza sabuni ,uvuvi na hisa
kilichoanzishwa mwaka 2015
KAIMU Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Shaka Hamdu Shaka akizungumza na wana hisa wa kikundi cha
Mgera Youth Group katika kata ya Mwandigwa
KAIMU
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Shaka Hamdu Shaka wa(
kwanza kulia) akishiriki akishiriki kazi ya Uchimbaji Msingi kwa ajili
ya usambazaji wa maji safi na Salama katika kijiji cha kalinza na
mlagala ikiwa ni sehemu ya Utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi wa CCM
2015-2020 Mradi ambao utagharimu Tshs 786642000/=Fedha zinazotoka mfuko
mkuu wa serikali.
KAIMU Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Shaka Hamdu Shaka
wa( kwanza juu kulia) akikagua maendeleo ya ujenzi wa Tank kwa
ajili ya usambazaji wa maji safi na Salama katika kijiji cha kalinza na
mlagala ikiwa ni sehemu ya Utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi wa CCM
2015-2020 Mradi ambao utagharimu Tshs 786642000/=Fedha zinazotoka mfuko
mkuu wa serikali.
KAIMU
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Shaka Hamdu Shaka
akifungua shina la wakereketwa na kisha kuzungumza na kundikubwa la
vijana katika kata ya kagongo kijiji cha mgaraza ambapo pia aliwapokea
viongozi 19 waandamizi wa wilaya na kata toka katika vyama
CUF,ACTWazalendo na NCCR Mageuzi ambao aliwakaribisha na kuwakabidhi
kadi za CCM.
MBUNGE wa Viti Maalumu Zainab Katimba akizungumza na viongozi wa mashina
na matawi wapya waliochaguliwa pamoja na wanachama wa kata na wilaya ya kigoma Vijijini wanachama
wa cha mapinduzi na jumuiya zake.
Mwenyekiti wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi akizungumza na viongozi wa mashina
na matawi wapya waliochaguliwa pamoja na wanachama wa kata na wilaya ya kigoma Vijijini wanachama
wa cha mapinduzi na jumuiya zake.
KAIMU Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Shaka Hamdu Shaka
akipokea katia ya moja wa wanachama wapya waliotoka katika vyama vya
upinzani
KAIMU Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Shaka Hamdu Shaka akizungumza na viongozi wa mashina
na matawi wapya waliochaguliwa pamoja na wanachama wa kata na wilaya ya kigoma Vijijini wanachama
wa cha mapinduzi na jumuiya zake.
(PICHA ZOTE NA FAHADI SIRAJI)
0 comments:
Post a Comment